Nafasi Ya Matangazo

September 06, 2025














Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita .

Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani Geita leo, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),akitokea mkoani Shinyanga.

Maara baada ya kuwahutubia Wananchi wa jimbo la Katoro, Dkt Nchimbi  aliwanadi wagombea Ubunge,akiwemo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Katoro,Mhandisi Kija Limbu Ntemi pamoja na Madiwani.
Posted by MROKI On Saturday, September 06, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo