Dkt Nchimbi katika Ratiba yake anaanzia Wilaya ya Kigamboni, kisha ataelekea Mbagala kwa mkutano utakaofanyika katika eneo la Maturubai–Polisi. Baadaye, atahitimisha siku kwa mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Temeke, katika uwanja wa Mwembe Yanga.
Mikutano ya Dkt Emmanuel John Nchimbi inalenga kuwasilisha sera na ahadi za CCM kwa wananchi, pamoja na kuhamasisha mshikamano na ushiriki wao katika uchaguzi mkuu ujao.










0 comments:
Post a Comment