Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kilosa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Kilosa waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Kilosa waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.

.jpeg)

0 comments:
Post a Comment