
Mbunge wa Jimbo la Ilala Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu akizungumza na Viongozi wa CCM leo April 05, 2025 akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Moka wa Dar eś Salaam Ndg. Abasi Mtemvu leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akizungumza na Viongozi wa CCM leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam
wajumbe wa mkutano Mkuu jimbo la Ilala wakifuatilia Mkutano huo
Viongozi na wajumbe wa mkutano Mkuu jimbo la Ilala wakifuatilia Mkutano huo
0 comments:
Post a Comment