Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Desemba 15, 2024 mkoani Mbeya ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 27 hadi Januari 02,2024. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila.
Na Waandishi wetu MbeyaMwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe.Jacobs Mwambegele amesema kuwa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mikoa ya Iringa, Mbeya na Dodoma katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa umepangwa kuanza tarehe 27 Disemba mwaka huu.
Wadau mbalimbali wa Uchaguzi wakiuliza maswali na kutoa maoni wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Bw. Kailima Ramadhani akitolea majibu hoja mbalimbali za wadau wa uchaguzi. Wadau wa uchaguzi kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano huo.
Wadau wa uchaguzi kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano huo.
Wadau wa uchaguzi kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa katika mkutano huo. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar akizungumza wakati wa kufunga kikao hicho.
0 comments:
Post a Comment