Nafasi Ya Matangazo

October 26, 2024

 

RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo  kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la “The Flying Fox”  linaliitangaza Pemba na Kuifungua Kiuchumi, akikabidhiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hazina 024.Ndg.Hakimu Kimara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)

Posted by MROKI On Saturday, October 26, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo