Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametembelea mabanda ya wadau wa madini kwenye maonesho yanayofanyika ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linaloendelea jijini Arusha
Jukwaa hili la siku tatu, linakutanisha wamiliki wa leseni za madini, watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini, Taasisi za Fedha na Taasisi za Serikali.
Leo Mei 22, 2024 Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametembelea mabanda ya wadau wa madini kwenye maonesho yanayofanyika ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linaloendelea jijini Arusha
Jukwaa hili la siku tatu, linakutanisha wamiliki wa leseni za madini, watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini, Taasisi za Fedha na Taasisi za Serikali.
0 comments:
Post a Comment