Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2024











Leo Mei 01, 2024 Tume ya Madini imeungana na Taasisi nyingine za Serikali kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika katika ngazi ya mkoa jijini Dodoma.

Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni _"Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha"_
Posted by MROKI On Wednesday, May 01, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo