Nafasi Ya Matangazo

April 03, 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma kwa kufiwa na mwenzaAskofu Francisca Gachuma, alipohudhuria mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo cha mwenza wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma, Askofu Francisca Gachuma, kwenye mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Mazishi ya mwenza wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma, Bibi Askofu Francisca Gachuma, kwenye mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima ya mwisho kwa mwili  wa mwenza wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma, Bibi Askofu Francisca Gachuma, kwenye mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo  kwenye kwenye kaburi la  wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma, Bibi Askofu Francisca Gachuma, kwenye mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mke wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Christopher Gachuma, Bibi Askofu Francisca Gachuma, kwenye mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Surubu Tarime Machi 30, 2024.
Posted by MROKI On Wednesday, April 03, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo