Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2023

Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968. Mradi huu utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4.8 hadi kukamilika kwake.

Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifanya vipimo wakati wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968.

Posted by MROKI On Thursday, August 17, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo