Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino,
Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Saudi Arabia kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani
Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Iman Salum Njalikai, kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Algeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma
tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Habibu Awesi Mohamed kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Qatar kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma
tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hassani Iddi Mwamweta kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Ujerumani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani
Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Mabalozi Wateule wakila Kiapo cha Maadili
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Mabalozi Wateule wakisaini Hati za
kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma
tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Mabalozi Wateule pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamishna wa Maadili Jaji Mhe.
Sivangilwa Mwangesi kwenye picha ya kumbukumbu na Mabalozi Wateule aliowaapisha
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.














.jpeg)




.jpg)





0 comments:
Post a Comment