Nafasi Ya Matangazo

July 02, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian akizungumza jambo akiwa katika Banda la maonesho la Shirika la Umeme mchini TANESCO lililopo katika viwanja vya maonesho ya 47 ya kimataifa Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yanaendelea Jijini Dar es Salaam. 
Wakipatiwa maelezo ya TEKNOLOJIA ya uhalisia pepe.
Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Latifa Mohamed Khamis  wakiangalia maendeleo ya mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere kwa kutumia Teknolojia ya uhalisia pepe
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dr Batilda Burian  (Kulia) Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Latifa Mohamed Khamis  wakiangalia maendeleo ya mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere kwa kutumia Teknolojia ya uhalisia pepe.
Dr Batilda Burian akiangalia maendeleo  ya mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere kwa kutumia Teknolojia ya uhalisia pepe.

Afisa Uhusiano Mwandamizi TANESCO, Neema Mbuja akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Batilda Buriani na Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Latifa Mohamed Khamis walipotembela kwenye Banda la TANESCO 
Akisaini kitabu Cha wageni Banda la
TANESCO sabasaba
5:27 PM-

Posted by MROKI On Sunday, July 02, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo