Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2023


Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakati alipoimtembelea na kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya mswala Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Mzee Yusuf Makamba wakati alipoimtembelea na kumjulia hali nyumbani kwake  Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Mzee Yusuf Makamba wakati alipoimtembelea na kumjulia hali nyumbani kwake  Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjane wa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, 
Dorcas Membe
 wakati alipoimtembelea na kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Posted by MROKI On Friday, July 14, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo