RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini wa Fedha za Mkopo kutoka kwa Benki za NMB na NBC, kwa ajili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) utiaji wa saini huo uliyofanyika leo 14-7-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Serikali na wa Benki ya NMB na NBC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa utiaji wa saini wa Fedha za Mkopo zinazotolewa kwa kushirikiana na benki hizo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.
BAADHI ya Viongozi wa Benki ya NMB na Benki ya NBC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya utiaji wa Saini wa Fedha za Mkopo zinazotolewa na Benki ya NMB na NBC kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.
0 comments:
Post a Comment