Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2023

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Charles Kajege,  bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate, bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Taletale, bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye  akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo ya 2023/24, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye bungeni jijini Dodoma, Mei 19l 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted by MROKI On Friday, May 19, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo