Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2023

Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Mh. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, leo Januari 22,2023 wameshiriki matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria nchini. Matembezi hayo yaliongozwa na Makamu wa Rais Mh. Dkt.Philip Mpango. 

Wiki ya Sheria kitaifa inafanyika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma na Tume ni moja ya taasisi za Serikali zinazoshiriki. 

Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele (Kulia) akishiriki matembezi hayo na viongozi wengine wa Serikali na Mahama. 


Watumishi wakiendelea na Maandamano.




Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango ndiye aliyeongoza matembezi hayo.




 

Posted by MROKI On Sunday, January 22, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo