Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ahmed Salim ambaye mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomtembelea Waziri Mkuu huyo Mstaafu nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022.
0 comments:
Post a Comment