Nafasi Ya Matangazo

October 25, 2022

Wataalam wa magonjwa ya moyo kwa watu wazima wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakifanya upasuaji wa bila kufungua kifua kwa kupasua sehemu ndogo kwenye kwa kutumia mtambo wa Cathlab kuzibua valvu ya moyo (Valve Intervention - Mitral Valve balloon Valvuloplasty Procedure) kwa mgonjwa ambaye valvu zake zimeziba na kushindwa kupitisha damu katika kambi maalum ya matibabu ya moyo ya  siku nne inayoendelea katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, October 25, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo