Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof.
Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Prof. Mwandosya anachukua nafasi ya Prof. Jamidu Hazzam Yahaya ambaye
amemalizia muda wake.
Uteuzi
huu umeanza tarehe 15 Agosti, 2022.
0 comments:
Post a Comment