Nafasi Ya Matangazo

July 19, 2022


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.

Waziri , Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), ambapo wameongozwa na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya.

Kikao hicho ni mwendelezo wa Serikali katika kuendelea kushirikiana na TUCTA katika kustawisha maslahi ya wafanyakazi husasni wa sekta Binafsi nchini.

Katibu Mkuu TUCTA, Henry Mkunda,  akieleza jambo wakati wa kikao cha Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022
Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wakifuatilia kikao chao na Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022. 
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Adam Katundu akifafanua Jamabo wakati wa cha Ofisi hiyo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022

Posted by MROKI On Tuesday, July 19, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo