pika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea taarifa ya Mahusiano baina ya Tanzania na Malawi kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole alipomtembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe nchini Malawi.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole (kushoto) alipomtembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe. Wengine ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioambatana na Mhe. Spika
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole akiwasilisha taarifa ya Mahusiano baina ya Tanzania na Malawi mbele ya Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) katika ofisi za Ubalozi huo Jijini Lilongwe nchini Malawi. Wengine ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioambatana na Mhe. SpikaSpika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole alipotembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe nchini Malawi.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ubalozini hapo Jijini Lilongwe nchini Malawi.
0 comments:
Post a Comment