Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe walipokutana kwa mazungumzo kwenye ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam, Julai 13, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Julai 13, 2022.
0 comments:
Post a Comment