Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya
Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)









0 comments:
Post a Comment