Nafasi Ya Matangazo

April 05, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa, Mabalozi, Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua Mkutano wa Haki, Amani na Maridhiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 05 Aprili, 2022.
Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa, baadhi ya Mabalozi wakiwa katika ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma kuhudhuria Mkutano wa Haki, Amani na Maridhiano, ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 05 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiagana na  Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Bara) Abdulrahman Kinana nje ya ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma baada ya kuzungumza na viongozi mbalimbali wa vyama vya Siasa waliohudhuria Mkutano wa Haki, Amani na Maridhiano uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 05 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiondoka baada ya kuzungumza na viongozi mbalimbali wa vyama vya Siasa waliohudhuria Mkutano wa Haki, Amani na Maridhiano uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 05 Aprili, 2022. Anaemsindikiza ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Bara) Abdulrahman Kinana katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama vya Siasa waliohudhuria Mkutano wa Amani, Haki na Maridhiano uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 05 Aprili, 2022.

Posted by MROKI On Tuesday, April 05, 2022 1 comment

1 comment:

  1. At this political juncture in Tanzania, we need to confront ourselves with only four things: 1) Truth 2) Justice 3) Reconciliation and 4) Compensation!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo