Nafasi Ya Matangazo

February 17, 2022

Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (katikati) pamoja na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakionyesha ishara ya furaha, amani na mshikamano nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Februari 16, 2022, watano kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond
Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada ukiongozwa na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Pamela O’Donell (kulia) pamoja na Wajumbe wa TWPG kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Februari 16, 2022

Uploading: 6664625 of 8791879 bytes uploaded.

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Pamela O’Donell (wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Februari 16, 2022, katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond



Posted by MROKI On Thursday, February 17, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo