Nafasi Ya Matangazo

January 25, 2022

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama madawati  ya chuma wakati alipokagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kutwa  Babati akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Januari 25, 2022. Waziri Mkuu aliagaza madawati hayo yafanyiwe maboresho kwa kuweka  ubao badala ya bati sehemu ya juu ili kuepusha madhara kwa watoto. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, wa pili kushoto ni Mhandisi wa Mji Mdogo Babati ,  Franco Kapinga na wa pili kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Patric Tarimo. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama madawati  ya chuma wakati alipokagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kutwa  Babati akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Januari 25, 2022. Waziri Mkuu aliagaza madawati hayo yafanyiwe maboresho kwa kuweka  ubao badala ya bati sehemu ya juu ili kuepusha madhara kwa watoto. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, wa pili kushoto ni Mhandisi wa Mji Mdogo Babati ,  Franco Kapinga na wa pili kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Patric Tarimo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kutwa Babati akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Januari 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimia baada ya kukagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kutwa Babati akiwa katika ziara ya mkoa wa Mayara, Januari 25, 2022. Kulia ni Mkuu wa moa wa Manyara, Makongoro Nyerere. 

Posted by MROKI On Tuesday, January 25, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo