Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimpongeza Balozi wa Hiari wa Mlima Kilimanjaro, Bi. Rawan Dakik kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza Tanzania kupanda Mlima Everest katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kulia) akiteta jambo na Wazazi wa Rawan Dakik, Abdulkarim Dakik (wa pili kutoka kulia) na Hala Dakik (wa kwanza kushoto). Wanaoshuhudia ni Balozi wa Hiari wa Mlima Kilimanjaro, Rawan Dakik (wa pili kutoka kushoto) na Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest, Wilfred Moshi (wa tatu kutoka kushoto) katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (wa nne kutoka kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Hiari wa Mlima Kilimanjaro na Mwanamke wa Kwanza Tanzania kupanda Mlima Everest Rawan Dakik (wa tatu kutoka kushoto) na Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest ,Wilfred Moshi (wa nne kutoka kulia) katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana. Wengine ni Wazazi wa Rawan Dakik Abdulkarim Dakik (wa kwanza kushoto), Hala Dakik (wa pili kushoto) na Mke wa Wilfred Moshi, Agnes Moshi (wa pili kutoka kulia) na Afisa Habari wa Rawan Dakik, Bw. Elifuraha Paul Mtowe.
0 comments:
Post a Comment