Wananchi wa Kata ya Kiboshoa Kati, Wilaya ya Moshi Vijijini
Mkoani Kilimanjaro leo Desemba 8,2020 wamepata haki yao ya kikatiba ya kupiga
kura kuchagua Diwani wa Kata yao baada ya uchaguzi uliopangwa kufnayika Oktoba
28,2020 pamoja na uchaguzi wa Mbunge na
Rais kuahirishwa. Picha mbalimbali zikionesha wananchi hao wakishiriki uchaguzi
huo.
Msimamizi wa Kituo cha Uchaguzi akimpa kararatasi ya kupigia kura mwananchi aliyefika katika Kituo cha Kupigia Kura cha Central 1 kilichopo Kibosho Kati.
Wananchi wakisubiri kuingia kupiga kura kumchagua Diwani wao ambapo wagombea wawili wameshiriki uchaguzi huo.
Karani Muongozaji akiongoza wapiga kura kwenda kupiga kura
Mwananchi akitoka kupiga kura
Karani Muongozaji akiongoza wapigakura kwenda kupiga kura.
0 comments:
Post a Comment