Nafasi Ya Matangazo

February 26, 2019


Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi moja kati ya Matrekta mapya ya ya Sonalika, yanayosambazwa na Kampuni ya Rellance, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam, leojana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia) ni Meneja Masoko, Sajal Bagga na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Stephen Mloshi. Picha na Mafoto Media
Furaha baada ya uzinduzi huo....

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Stephen Mloshi, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo.




Sehemu ya washiriki katika hafla ya uzinduzi huo.
Wawakilishi wa benki ya CRDB waliohudhuria hafla hiyo wakitambulishwa.

Waziri akimpongeza mmoja wa wakulima walionufaika na Matrekta hayo.... kutoka Mbinga

Waziri akionyesha zawadi aliyokabidhiwa na mkurugenzi wa kampuni hiyo (kushoto)
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi



Waziri katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Posted by MROKI On Tuesday, February 26, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo