Nafasi Ya Matangazo

March 30, 2018

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Hamisi Mgalu akikagua kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara . wakati alipotembelea kituo hicho jana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama,  Evod Mmanda.

Naibu Waziri wa Nishati  Subira Hamisi Mgalu akipata maelezo katika kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara wakati akipokea ripoti ya kituo hicho alipotembelea akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama,  Evod Mmanda.
Posted by MROKI On Friday, March 30, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo