Nafasi Ya Matangazo

January 07, 2018


Tunawatangazia Wateja wetu kuwa tumelazimika kuzima njia ya umeme ya Kipawa-Chang'ombe saa 1:30 Asubuhi baada ya moto kutokea kwenye "arrestor" ya Kituo cha kupoza umeme cha Chan'gombe.

Mafundi wanaendelea na jitihada za kurejesha umeme.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Kwa mawasiliano toa taarifa kupitia,

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
Posted by MROKI On Sunday, January 07, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo