Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2018

Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. 
Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. 
Miti aina ya Mibuyu inaonekana kwa wingi na inaongeza mvuto kwenye hifadhi ya Taifa Tarangire. 
Kundi la Tembo likinywa maji ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire. 
Pundamilia ni sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje ya nchi . 
Ndege aina ya Kanga 
Msururu wa magari ya watalii ukisubiri utaratibu wa malipo kwa njia ya kadi kuanza safari ya kutembelea hifadhi hiyo.
Watalii wakiwa ndani ya Hifadhi

Posted by MROKI On Friday, January 05, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo