Waziri Mahandisi Kamwele, (kulia), Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mwang'ingo, (wakwanza kushoto) na wataalamu wengine,m wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja, wakati Mheshimiwa Waziri alipotembelea mradi wa ujenzi wa tenki Makongo juu.
Waziri Mhandisi Kamwele, (Kushoto), akifurahia jambo na Meneja Uhusiano na Jamii wa DAWASA, Bi. Neli Msuya, wakati Waziri alipotembelea eneo la utandazaji mabomba huko Malamba Mawili.
Mhandisi Kamwele, akiongozana na wafanyakazi wanaofanya kazi ya kutandaza mabomba huko Malamba Mawili.
0 comments:
Post a Comment