Nafasi Ya Matangazo

October 25, 2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara maalum kukagua masuala mbalimbali ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kuzungumza na viongozi wa Mamlaka hiyo kwenye eneo la makao makuu yake yaliyopo ndani ya hifadhi. Katika ziara hiyo, Waziri Dkt. Kigwangalla ameweza kupokea kupokea maoni na masuala mengine ya kuendeleza Mamlaka hiyo ya Ngorongoro. Waziri yupo Ngorongoro kwa muda wa siku mbili ambapo pia amepata kutembelea maeneo ya hifadhi yenye migogoro na wafugaji.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa hifadhi hiyo wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mhifadhi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisikiliza maoni kutoka kwa viongozi wa hifadhi ya Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017.

Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,Freddy Manongi akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri wa Maliasili Dkt.Kigwangalla alipowasili hapo mapema leo kwa ajili ya kupata maelezo na ya kina namna ya uendeshaji na masuala mbalimbali.
Posted by MROKI On Wednesday, October 25, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo