Nafasi Ya Matangazo

October 28, 2017

 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo 
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani akizungumza katika mkutano huo
 Mkuu wa wilaya ya Pangani.Zainabu Issa akizungumza katika mkutano huo ambapo alimuomba Naibu Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kuiwekea msukumo barabara ya Tanga-Pangani ili kufungua fursa za kiuchumi kwa wilaya hiyo. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya PanganiSeif Saidi akizungumza katika mkutano huo 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Sabas Chamnbasi akizungumza katika mkutano huo
 Diwani wa Kata ya Pangani Magharibi (CCM) John Semkande akizungumza katika mkutano huo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Pangani wakati alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Pangani wakati alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiingia eneo la mkutano kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Pangani
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiwapungia mkono wananchi wa Jimbo hilo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano huo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso katikati akifuatilia matukio mbalimbali kwenye mkutano huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani.

 Kikundi cha Burudani kikitoa burudani kwenye mkutano huo wa hadhara.
 Mganga Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga akifuatilia mkutano huo
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mji wa Pangani wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Posted by MROKI On Saturday, October 28, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo