Mwanariadha
wa Tanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tano katika mbio za London
Marathon 2017 zilizofanyika hii leo.
Mbio
hizo za mwaka huu ziliwashirikisha wanariadha takriban 40,000 kutoka maeneo
mbalimbali ya dunia.
Kenya kwa mara nyingine imetwaa ubingwa huo kupitia kwa mkimbiaji wakeDaniel Wanjiru huku nafasi ya pili ikienda kwa Muethiopia Kenenisa Bekele, wakati nafasi ya tatu na nine zikienda kwa wakenya Bedan Karoki na Abel Kirui.
Matokeo ya kumi bora ya mashindano hayo upande wa wananume ni kama ifuatavyo.
Matokeo ya kumi bora ya mashindano hayo upande wa wananume ni kama ifuatavyo.
10 BORA YA WANAUME
Namba Jina Muda
1 Daniel WANJIRU (KEN) 02:05:48
2 Kenenisa BEKELE (ETH) 02:05:57
3 Bedan KAROKI (KEN) 02:07:41
4 Abel KIRUI (KEN) 02:07:45
5 Alphonce SIMBU (TAN) 02:09:10
6 Ghirmay GHEBRESLASSIE
(ERI) 02:09:57
7 Asefa MENGSTU (ETH) 02:10:04
8 Amanuel MESEL (ERI) 02:10:44
9 Javier GUERRA (ESP) 02:10:55
10 Michael SHELLEY (AUS) 02:11:38
10 BORA YA WANAWAKE
Namba Jina Muda
1 Mary KEITANY (KEN) 02:17:01
2 Tirunesh DIBABA (ETH) 02:17:56
3 Aselefech MERGIA (ETH) 2:23:08
4 Vivian CHERUIYOT (KEN) 02:23:50
5 Lisa WEIGHTMAN (AUS) 02:25:15
6 Laura THWEATT (USA) 02:25:38
7 Helah KIPROP (KEN) 02:25:39
8 Tigist TUFA (ETH) 02:25:52
9 Florence KIPLAGAT (KEN) 02:26:25
10 Jessica TRENGOVE (AUS) 02:27:01
0 comments:
Post a Comment