Na Pamela Mollel,Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bi.Jennista Mhagama
amewataka vijana kujiepusha na madawa ya kulevya ili utekelezaji wa
dhana ya Tanzania ya viwanda ilete ajira kwa vijana wenye nguvu
Aliyasema hayo jijini Arusha wakati akifunga mkutano mkuu wa9 wa wadau
wa mfuko wa hifadhi ya watumishi wa serikali za mita, LAPF uliohudhuriwa na wadau wa mfuko huo
wa mfuko wa hifadhi ya watumishi wa serikali za mita, LAPF uliohudhuriwa na wadau wa mfuko huo
Alisema
kuwa kwa sasa serikali imedhamiria kuwainua idadi kubwa ya vijana
waliona ujuzu mdogo kwa kuwajenge uwezo kupitia mafunzo mbalimbali
katika vyuo vilivyopo nchini
''Udhibiti mkubwa wa madawa ya kulevya unahitajika kwa vijana wetu ili kutengeneza taifa lenye nguvu ya kufanya kazi ''alisema
Aliongeza
kuwa asilimia kubwa ya watanzania hawana ujuzi wa kutosha hivyo basi
serikali ya awamu ya 5 imejipanga ipasavyo kuhakikisha vijana wanapata
ajira kupitia viwanda
Hata
hivyo aliipongeza mfuko wa LAPF kwa kazi nzuri wanayofanya huku
akiitaka mifuko yote ya kijamii hapa nchini ihakikishe kuwa ifikapo 2025
inakuwa na wanachama wengi zaidi
0 comments:
Post a Comment