Mnajulishwa kuwa mwili wa Marehemu Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba, Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Singida, aliyefariki dunia Alfajiri ya Novemba 30,2016 utaagwa leo Novemba 30, 2016 Saa 11 Jioni
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na baadaye utasafirishwa kwenda Mpanda Mkoani Katavi kwa ajili ya Mazishi.
Imetolewa
na:
Advera John Bulimba - ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
Makao Makuu
ya Polisi.
0 comments:
Post a Comment