Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Ummy Mwalimu (wapili kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali
Martin Mkisi (kulia) alipofanya ziara wilayani humo na kukagua Hospitali ya wilaya
Kasulu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali
Martin Mkisi alipofanya ziara wilayani humo na kukagua Hospitali ya wilaya

Kasulu akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa hospitali hiyo.
0 comments:
Post a Comment