Nafasi Ya Matangazo

September 26, 2016

Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko kutoka Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Waziri Ramadhani akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wanachama wa Namaingo Business Agency kwenye uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo kutoka Idara ya Uendeshaji UTT AMIS, Abbas Kandila (kulia), akiwaeleleza jinsi ya kujaza fomu za kujiunga Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja baadhi ya wanachama wa Kampuni ya Ushauri  Kibiashara ya Namaingo Business Agency wakijaza fomu kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja.
Ofisa Mafunzo kutoka Idara ya Uendeshaji UTT AMIS, Abbas Kandila akipitia fomu za  wanachama wa Kampuni ya Ushauri  wa Kibiashara ya Namaingo Business Agency baada ya kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja jijini Dar es Salaam.
Wanachama wa Kampuni ya Ushauri  Kibiashara ya Namaingo Business Agency wakimsikiliza Ofisa Mafunzo wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, September 26, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo