Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu msaada wa madawa waliyotoa kama mchango wao kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko ardhi lililotokea Mkoani humo Septemba 10.
Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki akimkabidhi mchango wa madawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko ardhi lilotokea Mkoani humo Septemba 10.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu akimshukuru Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki baada ya kupokea msaada wa madawa kwa kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Mkoani humo Septemba 10.
Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospitali, Dk. Muganyizi Kairuki hakikabidhi mchango wa madawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko ardhi lililotokea Mkoani humo Septemba 10.
0 comments:
Post a Comment