Kikosi
cha Azam FC ambacho leo kimeiadhibu yanga kwa bao 6-3 Aishi Manula, Islamail Adam, Bruce Kangwa,
David Mwantika, Himid Mao, Jean Mugiraneza, Shmari Kapombe, Salum Aboubakar,
John Bocco (Nahodha), Shaban Chilunda na Ramadhan Singano.
Benchi
la akiba walikuwepo, Mwadin Ally, Frank Domayo, Francisco Zekumbariwa, Abdallah
Masoud, Bolou Kipre, Mudathir Yahya na Gadiel Michael .
Kikosi cha Yanga kilichokubali kichapo cha bao 6-3 leo uwanja wa taifa kutoka Azam kiliongozwa na Vicent Bossou (Nahodha), Deogtatius Munishi, Haji Mwinyi, Hassan Kessy, Mbuyu
Twite, Thaban Kamusoko, Said Juma, Haruna Niyozima, Amissi Tambwe, Donald Ngoma
na Juma Mahadhi.
Katika
Benji walibaki Benno Kakolanya, Malimi Busungu, Matheo Anthony, Oscar Joshua,
Pato Ngonyani, Deus Kaseke na Simon Msuva.
*************
BAADA
ya kufakamia lambalamba za Azam FC katika kipindi cha kwanza Wawakilishi wa
kimataifa wa Tanzania Yanga SC iliamua sasa kutumia nazi za Azam kuweka katika
Supu waliyoandaa kwaajili ya kuzimulia kasi yao mpya ya msimu mpya wa 2016/2017 wa soka la Tanzania.
Yanga
imeamua kutia supu nazi!! Licha ya kuongoza katika dakika 45 za awali kwa kuwa
mbele kwa bao 2-0, lakini walishindwa kuwadhihirishia wapenzi na mashabiki wao
kuwa wao ni wakimataifa baada ya kulazwa chali na Washindi wa pili wa Ligi Kuu
ya Soka Tanzania bara msimu ulipita Azam FC kwa jumla ya bao 6-4.
Magoli
katika mchezo huo yalipachikwa kwa yanga yalipachikwa kiamini na Donald Ngoma (2)
na mkwaju wa penati ulifungwa na mlinda Mlango Deogtatius Munishi (1) huku
Shaban Kessy na Haruna Niyozima wakiambulia patupu.
Magoli
ya Azam yalipachikwa na Somari Kapombe (2), John Bocco (2) Mao Mkami (1) na Bolou
Kiprea (1)
Hadi
dakika tisini zina malizika na kipenga cha mwamuzi Ngole Mwangole kutoka Mbeya
kinalia kuashiria kumalizika kwa dakika 90 timu hizo zilikuwa sare ya goli 2-2 na kulazimika kwenda katika hatua
ya matuta ili kumpata bingwa.
Ni
hapo katika Matuta ndipo Yanga ikaonesha dhahiri kunywa mchuzi wa nazi na si
Supu tena kwa kuambulia mikwaju 2 ya penati dhidi ya 4 ya Azam FC.
Katika
Ngao ya Hisani Yanga imewahi kuifunga Azam mara mbili ambapo katika mchezo wa
kwanza 2012 Yanga 1 Azam 0 na Mchezo wa pili 2014 Yanga
0 comments:
Post a Comment