Meneja wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia
(TAZARA) Mkoa wa Tanzania Bw. Fuad Abdallah akitoa maelezo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu uharibifu wa Daraja
la Reli ya TAZARA eneo la Mbalizi Mkaoni Mbeya kutokana na shughuli za kibinadamu,
alipotembelea daraja hilo leo.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua mashine ya kichwa
kimojawapo cha treni wakati alipokagua ukarabati wa vichwa hivyo katika
karakana ya Mbeya.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na ukaguzi wa
karakana ya Mbeya.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na mmoja wa abiria
wakati alipokagua huduma za Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wafanyakazi wa
Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA), (hawapo pichani) wakati
alipotembelea ofisi za Mamlaka hiyo Mkoani Mbeya.
Baadhi ya wafanyakazi
wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), wakati
alipozungumza nao, Mkoani Mbeya.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisikiliza maoni kutoka kwa
wakazi wa Lyunga, Mbeya mara baada ya kumaliza kuongea na wafanyakazi wa
Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) Mkoani Mbeya.
0 comments:
Post a Comment