WP 7627 PC Sharifa Ismaili, Polisi Konsitebo wa Kikosi cha
Usalama Barabarani Makao Makuu, akikabidhi mipira kwa moja ya timu
zilizofanikiwa kuibuka na ushindi kwenye michezo ya MPINGA CUP 2016, makundi
raundi ya kwanza kutoka kundi C iliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Kitunda, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa
madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
WP 7627 PC Sharifa Ismaili, Polisi Konsitebo wa Kikosi cha
Usalama Barabarani Makao Makuu, akigawa vipeperushi kwa moja ya timu
zilizoshiriki kwenye michezo ya MPINGA CUP 2016, makundi raundi ya kwanza
kutoka kundi C iliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda, Lengo la
Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki
ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Polisi Aghata Mashayo akizikagua timu za
kundi C zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi
na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa
madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
Staff Sajent wa
Polisi, Enock Machunde akifundisha jambo kwa madereva wa Boda boda wakati wa
michezo ya Mashindano ya MPINGA CUP 2016 kundi C zilizofanyika kwenye
Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la
Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki
ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eric Ndidi akifundisha kuzijua
Alama za Barabarani kwa wachezaji wa timu za kundi C kabla ya kuingia uwanjani kwenye
Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la
Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki
ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
Staff Sajent wa Polisi, Enock Machunde akikabidhi Mpira kwa timu za
Waendesha Piki Piki (Boda boda) wakati wa michezo ya Mashindano ya MPINGA CUP
2016 kundi C zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za
Jumamosi na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama
Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa
Dar es Salaam. (Picha na Traffic Makao Makuu).
RATIBA YA MASHINDANO YA BODABODA
KUNDI D:
Uwanjani Chuo cha Walemavu KiwalaniTarehe 3/9/2016.
Uwanjani Chuo cha Walemavu KiwalaniTarehe 3/9/2016.
1. Mafundi
Fc Vs PANDA KIWALANI F.C
2. BOMBOM
F.C vs KIJIWE SAMLI KIWALANI
3.YOMBO HOSPT.KIWALANI vs MORNING
STAR KIWALANI
4. KIPAWA FC vs KIPAWA SHELI FC
5. VINGUNGUTI SCANIA vs KIZOTA
F.C VINGUNGUTI
6. MORNING STAR F.C vs WASHAWASHA
F.C
7. KIWALANI BEACH F.C vs BODABODA
GARDEN
KAtikaUWanjahuohuotarehe 4/9/2016
1. VINGUNGUTI RELINI vs MAZIZI
F.C
2. MTI PESA vs MASHUJAA F.C
3. TABATA DARAJANI F.C vs
BALAKUDA HIGHLAND FC
4. GOGOVIVU F.C vs BODABODA F.C
5. MANDEZE F.C vs YOMBORELI F.C
6. VIPAJI FC vs GOLAN F.C
0 comments:
Post a Comment