Waziri
wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa
kongamano la kujadili uhifadhi wa misitu pamoja na kuzindua ripoti ya
uvunaji wa misitu na mapendekezo ya kuboresha utawala wa misitu nchini
Tanzania.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe(katikati) akizindua
ripoti ya matokeo ya utafiti pamoja na mapendekezo ya kuboresha utawala
wa misitu nchini Tanzania, Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Jumuiko la Maliasili Tanzania( TNRF), Charles Meshack na kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Simo-Pekka Parviainen
Msaidizi
wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Simo-Pekka Parviainen akizungumza
jambo wakati wakuzindua ripoti ya uvunaji wa misitu pamoja na kujadili
ripoti hiyo
Mwakilishi wa Bodi ya Jumuiko la Maliasili Tanzania( TNRF), Charles
Meshack akizungumza jambo wakati wa kongamano lililowahusisha wadau
mbalimbali wa misitu ili kujadili ripoti ya uvunaji wa misitu nchini
Tanzania.
Mtafiti
na Mshauri wa masuala ya Misitu, Kihana Lukumbuzya akiwasilisha ripoti
ya uvunaji wa misitu kwa waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na wadau
mbalimbali wa masuala ya misitu(hawapo pichani) katika ukumbi wa Utalii
leo jijini Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe(wa kwanza kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wakifuatilia uwasilishwaji wa ripoti ya uvunaji wa misitu iliyokuwa ikiwasilishwa na Mtafiti na Mshauri wa masuala ya Misitu, Kihana Lukumbuzya. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mada
Mkurugenzi
wa Jumuiko la Maliasili Tanzania( TNRF), Joseph Olila akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu mapendekezo yaliyopatikana katika utafiti
pamoja na kuboresha utawala wa misitu nchini Tanzania.
Baadhi ya wadau wa misitu wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo lililofanyika leo jijini Dar es Salaam
Picha ya Pamoja: Source: Michuzi Media
0 comments:
Post a Comment