Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai
wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia
Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka
India kwa matibabu.

India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge)
0 comments:
Post a Comment