Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,
Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo
mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki inayotolewa
na kampuni ya Global Light company mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,
Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi
wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya
mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki mapema hii leo jijini Dar es Salaam,
katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo inayotoa huduma ya Global Light Company
Bw. Raymond Magambo.
0 comments:
Post a Comment