Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group kiwanda cha
Arusha walikutana na familia zao katika siku ya familia iliyofanyika
katika katika viwanja vya TGT ambayo ilikuwa na burudani tele za kila aina
kuanzia kucheza muziki,michezo mbalimbali ya watu wazima na watoto ,misosi na
vinywaji bila kusahau zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi na familia zao.
Zawadi mbalimbali zilitolewa kwa washindi

Wafanyakazi walikuwa ni wenye furaha

Kandanda safi lilitandazwa na wanafamilia wa TBL Arusha

Upimaji wa afya pia ulifanyika kwa wafanyakzi na familia zao

Michezo mbalimbali ilikuwepo
Watoto walicheza pamoja na kufurahi
Mbio za watoto nazo zilikuwepo.
Msosi wa nguvu ulikuwepo.










0 comments:
Post a Comment