Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2016

Mwanasheria wa Property International Limited Hazel Chonya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanasheria wa Bayport, Mrisho Mohamed (wa pili kulia) baadhi ya hati za viwanja vilivyosajiliwa na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi kwa wateja wa Bayport kwa viwanja vya mradi wa Vikuruti Kibaha, mradi ambao unauzwa na kampuni ya Property International Limited kwa kushirikiana na Bayport. Kushoto) Ofisa Uendeshaji Property International,George Obado na Meneja Masoko wa Property International Leila Maingu
Posted by MROKI On Thursday, June 16, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo