Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu
akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa kituo kipya cha kupokelea simu za dharura
(CallCentre) wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho ambacho
kitazinduliwa hivi karibuni ikiwa ni hatua mojawapo ya utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha usalama
wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi kwakushirikiana na Ofisi ya Rais, ufuatiliaji
wa utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia
kituo hicho wananchi wataweza kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na
ilivyo hivi sasa.

Askari Polisi wakiwa
katika mafunzo maalumu ya kupokea simu katika kituo kipya cha kupokelea simu za
dharura (CallCentre) ambacho kitazinduliwa hivi karibuni ikiwa ni hatua
mojawapo ya utekelezaji wa Mpango wa
Kuboresha usalama wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi kwakushirikiana na
Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa
Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia kituo
hicho wananchi wataweza kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na ilivyo
hivi sasa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
0 comments:
Post a Comment